Monday 14 April 2014

KUJIUNGA NA FE 303

Fuata maelekezo yafuatayo:


1. Login into your email account (Fungua email yako unayotaka uwe unapokelea taarifa na material ya FE 303)


2. Andika neno "Connect me with FE 303" na utume  kwenda kwenye email ifuatayo:
          thiscourse1@gmail.com


3. Utapokea ujumbe wenye uthibitisho toka kwa afisa atakayekuwa amepokea email yako ofisini.

4. Kinachobaki ni wewe mara kwa mara kutembelea email yako na ku-enjoy updates, notes, matangazo, assignments n.k vya FE 303 popote utakapokuwa iwe darasani, cafteria, ujasini, kitandani, ktk daladala, library, utawala, mjini, etc. 



But, usisahau kuhudhuria lecture kila siku ulopangwa kuhudhuria.