Ripota wa WAPO FM radio alisema majina ya watuhumiwa hao yametajwa kuwa ni:-
- Victor Ambrose Calist (20, mkazi wa Kwa Mrombo, Arusha)
- Joseph Yusuph Lomayani (18, mkazi wa Kwa Mrombo, Arusha)
- George Bartholomeo Silayo (26, mkazi wa Olasiti, Arusha)
- Mohammed Suleiman Said (38, mkazi wa Ilala, Dar es Salaam, aliyewafuata kwa gari binafsi washukiwa wa ugaidi kutoka kiwanja cha ndege na kuwepeleka hadi hoteli ya Aquiline iliyopo Arusha)
- Said Abdallah Said (28, mkazi wa Abu Dhabi, Nchi za Falme za Kiarabu)
- Abdelaziz Mubarak (30, Nchi za Falme za Kiarabu)
- Jassini Mbaraka (29 mkazi wa Bondeni, Arusha)
- Foud Ahmad (28, Nchi za Falme za Kiarabu)
- Said Mohsen (Najran, Saudi Arabia)
Hata hivyo, himaya ya Imarati, Nchi za Falme za Kiarabu (UAE - United Arab Emirates) inasema maafisa wake wamekanusha kuhusu raia wake watatu kuhusika na mlipuko wa bomu la Olasiti, Arusha.
No comments:
Post a Comment