Monday 10 June 2013

TUWE MASHABIKI WA UKWELI WA ELIMU NA SIYO MANENO TU (Do something for education)


ILI ELIMU YETU IWEZE KUINUKA, WATANZANIA TUNAHITAJI KUWA 

MASHABIKI WA 
UKWELI WA ELIMU KAMA 
TUNAVYOSHABIKIA NYANJA NYINGINE 
KAMA VILE STAREHE (Mfano SOKA, MZIKI, N.K) 
By, RWEHUMBIZA, RESPICIUS (2013). 

NAMPONGEZA SANA 
MADAM FARAJA KOTTA KWA KUWA 
MSHABIKI MZURI WA ELIMU MPAKA 
AKAFUNGUA TOVUTI YA KUSAIDIA 
WATOTO WETU KIMASOMO. 
HUO NDIO USHABIKI WA UKWELI (Do something for Education).

LEO HII HATA WATOTO WETU 
WALIOFELI WANATHAMINI KUSHINDA 
NA KULALA KWENYE KWENYE SEHEMU 
ZA SITAREHE NA SIYO ZA KIUTAFUTAJI 
WALA ELIMU KWA SABABU JAMII INAYOTAZAMWA HUSHABIKIA HICHO. KAMA TUKISHABIKIA ELIMU, JAMII INAYO TUTAZAMA PIA ITASHABIKIA ELIMU (Modeling theory by Bandura)

No comments:

Post a Comment