Sunday 27 October 2013

MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA FE 301

Ili kujiunga kuwa unapokea materials na updates za FE 301 mwaka wa masomo 2013/2014, fuata maelekezo yafuatayo:

1. Fungua email yako mbayo unapendekeza uwe unapokea information kwa kutumia email hiyo.

2. Andika email yenye ujumbe "Connect me with FE 301" kisha uitume kwenda   kwenye email ifuatayo:
                       educationalsociology@yahoo.com


3. Zoezi lako la kujiunga litakuwa limekamilika na punde utaweza kupokea ujumbe (automatic response) wa kukupongeza kuwa umefanikiwa.

4. Mwisho kabisa, ni wewe kuwa unatembelea email yako mara kwa mara ili ujipatie updates na materials ya FE kwa raha zako. (Iwe kitandani kwako, ujasini, ktk basi, jikoni, bafuni, darasani, n.k, wewe ni kuenjoy FE 301 unlimitedly. Kazi ni kwako)


Note:
Huduma ya kutengeneza email inapatikana Block I-43 kwa wale wasio nazo
xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx
Wadhamini: Biashara mpya na huduma mpya kwa bei sawa na bure sasa zinapatikana UDOM-CoEd
  


1.      Tunauza laptop (brand new) kila aina kwa bei poa.
2.      Tunabwaga window na kuinstall kila aina ya program kwa bei poa.
3.      Tuna program mpya za kuwezesha computer kupiga simu na kuonana live na mtu unayeongea naye. (Hakuna haja ya Skype tena)
4.      Tunasafisha na kung’arisha computer kwa kutumia cleanining fluid.
5.      Tunauza digital camera na projector kwa bei ya nyanya.
6.      Tunauza printer kwa bei ya kijasi (zinaprint black & white, coloured pages, zinaphotocopy na zinascan).
7.      Tunakodisha digital camera,laptop, projectors na mitambo ya sinema kwa ajili ya seminar presentation darasani.
8.      Tunachukua shooting za party kama birthday, engagement, etc na kuedit movie.
9.      Tunauza modem zenye kutumia line zote kwa bei fresh sana


For only serious customers plz, Contact us through phone number 0788 030000

1 comment: