Monday, 10 June 2013
TUWE MASHABIKI WA UKWELI WA ELIMU NA SIYO MANENO TU (Do something for education)
ILI ELIMU YETU IWEZE KUINUKA, WATANZANIA TUNAHITAJI KUWA
MASHABIKI WA
UKWELI WA ELIMU KAMA
TUNAVYOSHABIKIA NYANJA NYINGINE
KAMA VILE STAREHE (Mfano SOKA, MZIKI, N.K)
By, RWEHUMBIZA, RESPICIUS (2013).
NAMPONGEZA SANA
MADAM FARAJA KOTTA KWA KUWA
MSHABIKI MZURI WA ELIMU MPAKA
AKAFUNGUA TOVUTI YA KUSAIDIA
WATOTO WETU KIMASOMO.
HUO NDIO USHABIKI WA UKWELI (Do something for Education).
LEO HII HATA WATOTO WETU
WALIOFELI WANATHAMINI KUSHINDA
NA KULALA KWENYE KWENYE SEHEMU
ZA SITAREHE NA SIYO ZA KIUTAFUTAJI
WALA ELIMU KWA SABABU JAMII INAYOTAZAMWA HUSHABIKIA HICHO. KAMA TUKISHABIKIA ELIMU, JAMII INAYO TUTAZAMA PIA ITASHABIKIA ELIMU (Modeling theory by Bandura)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment